• HABARI MPYA

  Jumamosi, Novemba 02, 2019

  MBAPPE AFUNGA LAKINI PSG YAPIGWA 2-1 NA DIJON LIGI YA UFARANSA

  Mshambuliaji Jhonder Cadiz akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Dijon dakika ya 47 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Paris St Germain kwenye mchezo wa Ligue 1, Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Gaston-Gerard mjini Dijon. Paris St Germain ilitangulia kwa bao la Kylian Mbappe dakika ya 19 kabla ya Mounir Chouiar kuisawazishia Dijon dakika ya 45 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MBAPPE AFUNGA LAKINI PSG YAPIGWA 2-1 NA DIJON LIGI YA UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top