• HABARI MPYA

  Ijumaa, Novemba 01, 2019

  DOMAYO, CHILUNDA WOTE WAFUNGA AZAM FC YAICHAPA MBUNI FC YA ARUSHA 3-0

  Wachezaji wa Azam FC, kiungo Frank Domayo (kushoto) na mshambuliaji Shaaban Iddi Chilunda wakipongezana baada ya wote kufunga katika usindi wa Azam FC wa 3-0 dhidi ya Mbuni FC ya mkoani Arusha kwenye mchezo wa kirafiki jana usiku wa jana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaa. Domayo alifunga dakika ya tatu na Chilunda dakika ya sita wakati bao la tatu lilifungwa na mshambuliaji Mzimbabwe, Donald Ngoma dakika ya 68 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DOMAYO, CHILUNDA WOTE WAFUNGA AZAM FC YAICHAPA MBUNI FC YA ARUSHA 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top