Mohamed Salah akifurahia na Roberto Firmino baada ya wote kuisaidia timu yao, Liverpool kushinda 2-1 dhidi ya Tottenham Hotspur usiku wa jana Uwanja wa Anfield katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Firmino alifunga bao la kwanza dakika ya 16 na Salah akasababisha bao la pili ambalo Toby Alderweireld alijifunga dakika ya 90 wakati bao la Spurs lilifungwa Lucas Moura dakika ya 70. Kwa ushindi huo, Liverpool inafikisha pointi 79 baada ya kucheza mechi 32 na kurejea kileleni mwa Ligi Kuu ya England sasa ikiizidi Manchester City pointi mbili ingawa imecheza mechi moja zaidi, wakati Spurs inabaki na pointi zake 61 sasa ikilingana na Manchester United PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Would you pay £135 for Centre Court tickets then leave to watch the World
Cup? How Wimbledon reacted to England's dramatic win over DR Congo
-
For anyone wandering past Henman Hill at a little after 5pm, they never
would have guessed that Brian Cipenga had just scored. Few gasps, few
groans, few c...
5 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment