• HABARI MPYA

  Saturday, April 13, 2019

  BARCELONA YABANWA, YAAMBULIA SARE KWA HUESCA 0-0 LA LIGA

  Ousmane Dembele wa Barcelona akikosa bao la wazi yeye na kipa Roberto Santamaria wa Huesca kipindi cha kwanza leo Uwanja wa El Alcoraz mjini Huesca kwenye mchezo wa La Liga timu hizo zikitoka sara ya 0-0 huku kocha Ernesto Valverde akimuanzisha kipa Marc-Andre Ter Stegen pekee katika wachezaji wake wa kikosi cha kwanza na kuwapumzisha wengine wote akiwemo Lionel Messi kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Manchester United Jumanne Uwanja wa Camp Nau 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA YABANWA, YAAMBULIA SARE KWA HUESCA 0-0 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top