• HABARI MPYA

  Friday, April 12, 2019

  CHELSEA YAIPIGA SLAVIA PRAHA 1-0 PALE PALE SINOBO EUROPA LEAGUE

  Marcos Alonso (kushoto) akishangilia na Olivier Giroud baada ya kuifungia Chelsea bao pekee dakika ya 86 ikiilaza 1-0 Slavia Praha katika mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa Sinobo mjini Praha na timu hizo zitarudiana Aprili 18 Uwanja wa Stamford Bridge, London 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CHELSEA YAIPIGA SLAVIA PRAHA 1-0 PALE PALE SINOBO EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top