Bondia Amir Khan akiwa chini baada ya kuangushwa na mpinzani wake, Terence Crawford raundi ya kwanza kwenye pambano la uzito wa Welter asubuhi ya leo ukumbi wa Madison Square Garden mjini New York, Marekani. Khan aliinuka na kuendelea na pambano kabla ya kujiuzulu raundi ya sita akidai kupigwa chini ya mkanda, hivyo Crawford kuondoka na taji lake la WBO kwa ushindi wa Technical Knockout (TKO) akiendeleza rekodi ya kutopoteza pambano PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Pretorius breaks Gayle's T20 record score
-
Lhuan-dre Pretorius breaks Chris Gayle's record for the highest score in a
men's T20 match with an unbeaten 188 in a domestic fixture in South Africa.
11 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment