• HABARI MPYA

  Thursday, April 25, 2019

  MANCHESTER CITY YAIZABA MANCHESTER UNITD 2-0 OLD TRAFFORD

  Bernardo Silva akikimbia kushangilia kishujaa baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya 54 kabla ya Leroy Sane kufunga la pili dakika ya 66 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester. Man City inafikisha pointi 89 baada ya ushindi huo katika mchezo wa 35 na kurejea kileleni mwa Ligi Kuu England, wakati Man United inabaki na pointi zake 64 za mechi 34 katika nafasi ya sita 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANCHESTER CITY YAIZABA MANCHESTER UNITD 2-0 OLD TRAFFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top