Wafungaji wa mabao ya Liverpool katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Huddersfield Town kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana, kiungo wa kimataifa wa Guinea, Naby Deco Keita (katikati) na washambuliaji wa kimataifa, Mohamed Salah wa Misri na Sadio Mane wa Senegal wakipongezana kwa kazi nzuri usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Anfield. Keita alifunga la kwanza dakika ya kwanza, Mane mawili dakika za 23 na 66 kama Mo Salah dakika za 45 na ushei na 83 na kwa ushindi huo Liverpool inafikisha pointi 91 baada ya kucheza mecbhi 36 na kurejea kileleni, ikiizidi Manchester City pointi mbili ingawa ina mchezo mmoja mkononi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
18th Headies nominees party holds at Vaniti Lagos
-
Vaniti, Lagos will host nominees of the 18th Headies Awards on Saturday,
October 3, 2026, as part of activities leading up to the prestigious music
award...
4 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment