Beki Mholanzi wa Liverpool, Virgil van Dijk akiwa ameshika tuzo ya Mchezaji Bora wa Chama cha Wachezaji wa Kulipwa (PFA) baada ya kukabidhiwa usiku wa jana ukumbi wa Grosvenor House mjini London kufuatia kumshinda Raheem Sterling wa Manchester City ambaye hivyo, alijifariji kwa ushindi wa tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
17-year-old Andreeva wins Indian Wells title
-
17-year-old Mirra Andreeva shocks world number one Aryna Sabalenka 2-6 6-4
6-3 to win the Indian Wells title.
25 minutes ago
0 comments:
Post a Comment