• HABARI MPYA

  Sunday, April 28, 2019

  WAKALI WA NDOVU YA ARUSHA 1992, RASHID CHAMA, KABURU NA LUNGU

  WACHEZAJI wa Ndovu ya Arusha kutoka kulia kiungo mshambuliaji Francis Lungu (sasa marehemu), beki Rashid Idd ‘Chama’ na kiungo Abdallah Suleiman ‘Kaburu’ kabla ya moja ya mechi za timu hiyo mwaka 1992 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WAKALI WA NDOVU YA ARUSHA 1992, RASHID CHAMA, KABURU NA LUNGU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top