• HABARI MPYA

  Saturday, April 13, 2019

  POGBA AFUNGA PENALTI MBILI MAN UNITED YAICHAPA WEST HAM 2-1

  Paul Pogba akishangilia na wachezaji wenzake wa Manchester United baada ya kufunga penalti mbili dakika za 19 na 80 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya West Ham United leo Uwanja wa Old Trafford kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao la West Ham lilifungwa na Felipe Anderson dakika ya 49 na kwa ushindi huo, Man United inafikisha pointi 64 baada ya kucheza mechi 33 na kurejea nafasi ya tano, ikiizidi pointi moja Arsenal ambayo hata hivyo ina mchezo mmoja mkononi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: POGBA AFUNGA PENALTI MBILI MAN UNITED YAICHAPA WEST HAM 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top