• HABARI MPYA

  Sunday, April 14, 2019

  MANE, SALAH WAFUNGA LIVERPOOL YAIPIGA CHELSEA 2-0 ANFIELD

  Mohamed Salah akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia bao la pili Liverpool dakika ya 53 kufuatia Sadio Mane kufunga la kwanza dakika ya 51 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Chelsea leo Uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Ushindi huo unairejesha Liverpool kileleni ikifikisha pointi 85 baada ya kucheza mechi 34, sasa ikiizidi Manchester City pointi mbili ambayo hata hivyo ina mchezo mmoja mkononi 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MANE, SALAH WAFUNGA LIVERPOOL YAIPIGA CHELSEA 2-0 ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top