• HABARI MPYA

  Friday, April 19, 2019

  NI ARSENAL NA VALENCIA NUSU FAINALI UEFA EUROPA LEAGUE

  Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Arsenal dakika ya 36 ikishinda 1-0 dhidi ya wenyeji, Napoli kwenye mchezo wa marudiano Robo Fainali UEFA Europa League usiku wa jana Uwanja wa San Paolo mjini Napoli. Kwa matokeo hayo, Arsenal inatinga Nusu Fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-0 baada ya kushinda 2-0 kwenye mchezo wa kwanza London na sasa itamenyana na Valencia 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NI ARSENAL NA VALENCIA NUSU FAINALI UEFA EUROPA LEAGUE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top