• HABARI MPYA

  Jumatatu, Aprili 22, 2019

  MPABBE APIGA HAT TRICK NA KUIPA UBINGWA WA LIGUE 1 PSG

  Mshambuliaji wa Paris Saint-Germain, Kylian Mbappe akishangilia na mchezaji mwenzake, Dani Alves baada ya kuifungia mabao yote timu yake dakika za 15, 38 na 55 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Monaco kwenye mchezo wa Ligue 1, Ufaransa jana Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris. Bao pekee la Monaco lilifungwa na Aleksandr Golovin dakika ya 38 na kwa ushindi huo PSG ilitangazwa rasmi kuwa bingwa wa Ligue 1 kutokana na kufikisha pointi 84 katika mchezo wa 33 ambazo haziwezi kufikiwa na timu nyingine PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MPABBE APIGA HAT TRICK NA KUIPA UBINGWA WA LIGUE 1 PSG Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top