• HABARI MPYA

        Sunday, April 07, 2019

        EVERTON YAIPIGA 1-0 ARSENAL GOODISON PARK, MUUWAJI JAGIELKA

        Phil Jagielka akiifungia bao pekee Everton dakika ya 10 kufuatia kuanza badala ya mgonjwa, Michael Keane Everton ikiilaza 1-0 Arsenal leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Goodison Park mjini Liverpool. Kwa ushindi huo, Everton inafikisha pointi 46 baada ya kucheza mechi 33 na kupanda kwa nafasi mopja hadi ya tisa, Arsenal ikibaki na pointi zake 63 sawa na Chelsea katika nafasi ya nne baada ya wote kucheza mechi 32 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: EVERTON YAIPIGA 1-0 ARSENAL GOODISON PARK, MUUWAJI JAGIELKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry