• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 28, 2019

  AGUERO AWAZIMA BURNLEY TURF MOOR, MAN CITY YAREJEA KILELENI

  Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Manchester City dakika ya 63 ikiilaza 1-0 Burnley katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Turf Moor leo. Ushindi huo unaifanya Man City ifikishe pointi 92 baada ya kucheza mechi 36 na kurejea kileleni kwenye Ligi Kuu ya England ikiizidi kwa pointi moja Liverpool 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: AGUERO AWAZIMA BURNLEY TURF MOOR, MAN CITY YAREJEA KILELENI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top