Luis Suarez akikimbia kushangilia baada ya mpira alioupiga kwa kichwa kuunganishiwa nyavuni na Luke Shaw (hayupo pichani) aliyejifunga dakika ya 12 kuipatia Barcelona bao pekee katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Manchester United usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford kwenye mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Timu hizo zitarudiana Aprili 16 Uwanja wa Camp Nou, Barcelona PICHA ZAIDI GONGA HAPA
18th Headies nominees party holds at Vaniti Lagos
-
Vaniti, Lagos will host nominees of the 18th Headies Awards on Saturday,
October 3, 2026, as part of activities leading up to the prestigious music
award...
4 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment