Winga wa Tottenham Hotspur, Lucas Moura akiangalia juu kushangilia baada ya kuifungia Tottenham Hotspur mabao matatu dakika za 27, 87 na 90 na ushei hiyo kufuatia Mkenya, Victor Wanyama kufunga la kwanza dakika ya 24 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Huddersfield United leo Uwanja wa Tottenham Hotspur mjini London leo. Tottenham Hotspur inafikisha pointi 67 baada ya kucheza mechi 33, ingawa inabaki nafasi ya tatu nyuma ya 2 Manchester City yenye pointi 80 za mechi 32 na Liverpoolinayoongoza kwa pointi zake 82 za mechi 33 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Premier League refers Everton over finances
-
Everton have been referred to an independent commission by the Premier
League over an alleged breach of its profitability and sustainability rules.
9 minutes ago
0 comments:
Post a Comment