• HABARI MPYA

  Sunday, April 28, 2019

  MESSI AIPA BARCELONA TAJI LA NANE LA LIGA NDANI YA MIAKA 11

  Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao pekee dakika ya 62 ikiilaza Levante 1-0 Uwanja wa Camp Nou na kujihakikishia taji la pili mfululizo la La Liga na la nane ndani ya misimu 11 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI AIPA BARCELONA TAJI LA NANE LA LIGA NDANI YA MIAKA 11 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top