• HABARI MPYA

  Sunday, April 14, 2019

  SAHAU KAMBI, KILAMBO NA KABURU WALIPOKUWA RELI MOROGORO

  WACHEZAJI wa Reli ya Morogoro kutoka kulia, Ramadhani Kilambo, Abdallah Suleiman ‘Kaburu’ na kipa Sahau Said Kambi (sasa marehemu) kabla ya moja ya mechi zao za Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara (sasa Ligi Kuu) mwaka 1994 Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SAHAU KAMBI, KILAMBO NA KABURU WALIPOKUWA RELI MOROGORO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top