• HABARI MPYA

  Saturday, April 20, 2019

  MAN CITY YAIGONGA SPURS 1-0 NA KURUDI KILELENI ENGLAND

  Phil Foden akiifungia bao pekee Manchester City dakika ya tano tu ikiilaza Tottenham Hotspur 1-0 leo Uwanja wa Etihad katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Ushindi huo unaifanya Man City ifikishe pointi 86 baada ya kucheza mechi 34 na kurejea kileleni, sasa ikiizidi pointi mbili Liverpool inayofuatia nafasi ya pili, mbele ya Tottenham yenye pointi 67 za mechi 34 pia 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAIGONGA SPURS 1-0 NA KURUDI KILELENI ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top