• HABARI MPYA

  Sunday, April 14, 2019

  STERLING APIGA MBILI MAN CITY YAICHAPA CRYSTAL PALACE 3-1

  Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia Manchester City mabao mawili dakika za 15 na 63 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Crystal Palace leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Selhurst Park mjini London. Bao la tatu limefungwa na Gabriel Jesus dakika ya 90 wakati la Crystal Palace limefungwa na Luka Milivojevic dakika ya 81 na kwa ushindi huo Man City inafikisha pointi 83 baada ya kucheza mechi 33 na kurejea kileleni, ikiizidi pointi moja Liverpool ambayo muda inamenyana na Chelsea Uwanja wa Anfield katika mchezo wake wa 34 
    
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: STERLING APIGA MBILI MAN CITY YAICHAPA CRYSTAL PALACE 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top