Nyota wa Manchester City, Leroy Sane akikimbia kushangilia baada ya kufunga bao la tatu dakika ya 33 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya wenyeji, Arsenal usiku wa Alhamisi Uwanja wa Emirates, London. Mabao mengine ya Man City ambayo Jumapili iliifunga 3-0 tena Arsenal katika fainali ya Kombe la Ligi Uwanja wa Wembley, yalifungwa na Bernardo Silva dakika ya 15 na David Silva dakika ya 28 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment