Kiungo Mkongo wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi akimuacha chini beki wa Saint Louis ya Shelisheli katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 1-0
Beki Hassan Kessy wa Yanga, akienda chini baada ya kuangushwa na beki wa St Louis na kusababihsa penalti ambayo Mzambia Obrey Chirwa alikosa
Mfungaji wa bao pekee la Yanga, Juma Mahadhi (kulia) akipambana na mchezaji wa St Louis
Beki wa Yanga, Said Juma 'Makapu' akiwa juu kugombea mpira na mchezaji wa St Louis
Kiungo wa Yanga, Pius Buswita akimtoka mchezaji wa St Louis
Kiungo wa Yanga, Ibrahim Ajib akimtoka mchezaji wa St Louis
Beki wa Yanga, Gardiel Michael akimtoka beki wa St Louis jana
Kiungo wa Yanga, Emmanuel Martin akimpita beki wa St Louis jana
Kikosi cha Saint Louis Suns United katika picha ya pamoja kabla ya mechi jana
Kikosi cha Yanga kilichoshinda 1-0 kwa mbinde jana Uwanja wa Taifa
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment