Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia mabao matatu peke yake Real Madrid dakika za 27, 37 na 80 ikishinda 5-2 dhidi ya Real Sociedad katika mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid. Mabao mengine ya Real yalifungwa na Lucas Vazquez dakika ya kwanza na Toni Kroos dakika ya 34, wakati ya Sociedad yalifungwa na Jon Bautista dakika ya 74 na Illarramendi dakika ya 83 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Revealed: Mason Greenwood's transfer price tag - and how Man United could
cash in - as Champions League giants hope to capitalise on chaos at
Marseille
-
Manchester United's summer transfer kitty could be boosted by a sell-on
clause for one of their former players.
4 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment