Nyota wa Argentina, Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili dakika za 13 na 15 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Celta Vigo kwenye mchezo wa marudiano hatua ya 16 bora Kombe la Mfalme, maarufu kama Copa del Rey usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Mabao mebgine ya Barcelona yamefungwa na Jordi Alba dakika ya 28, Luis Suarez dakika ya 31 na Ivan Rakitic dakika ya 87 na sasa timu ya kocha Ernesto Valverde inakwenda Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 6-1 baada ya sare ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza ugenini PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ralf Schumacher, 50, marries Etienne Bousquet-Cassagne, 36, as ex-F1 star
ties the knot with his partner in glitzy St Tropez bash 19 months after
coming out as gay
-
Former F1 star Ralf Schumacher tied the knot with Etienne Bousquet-Cassagne
in a glitzy ceremony in St Tropez on Saturday - with the event being filmed
to ...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment