Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la ushindi dakika ya 90 na ushei ikiilaza 2-1 Bristol City katika Nusu Fainali ya kwanza ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup usiku wa Jumanne Uwanja wa Etihad. Timu hizo zitarudiana Januari 23 Ashton Gate mjini Bristol. Bristol walitangulia kwa bao la mkwaju wa penalti la Bobby Reid dakika ya 44 baada ya yeye mwenyewe kuangushwa na John Stones, kabla ya Kevin De Bruyne kuisawazishia City dakika ya 55 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'He wanted to take it' - Gabriel's first Arsenal penalty ends with
heartbreak
-
Gabriel's first penalty for Arsenal ends in heartache as his shootout miss
hands Paris St-Germain a second successive Champions League title.
5 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment