Sadio Mane akishangilia na Trent Alexander-Arnold na Adam Lallana baada ya kuifungia Liverpool bao la kwanza dakika ya 61 Uwanja wa Turf Moor katika ushindi wa 2-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya wenyeji, Burnley. Bao la pili la Liverpool lilifungwa na Ragnar Klavan dakika ya 90 na ushei baada ya Johann Berg Gudmundsson kuisawazishia Burnley dakika ya 87 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Simpson and guide Poth win Paralympic silver for GB
-
Neil Simpson wins Great Britain's first medal of the Milan-Cortina Winter
Paralympics with silver in the alpine combined.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment