Refa Mike Jones akimuonyesha kadi nyekundu beki wa pembeni wa Leicester City, Ben Chilwell (kulia) kufuatia kumuonyesha kadi ya pili ya njano dakika ya 68 baada ya kumchezea rafu Victor Moses wa Chelsea anayegalagala kushoto wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge, London timu hizo zikitoka sare ya 0-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Liverpool to open formal talks with Iraola
-
Liverpool will open formal talks with Andoni Iraola this week over becoming
their new head coach.
7 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment