Kiungo Mbrazil wa Chelsea, Willian akimtoka beki wa Norwich City, Timm Klose katika mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la FA England jana Uwanja wa Carrow Road mjini Norwich, Norfolk timu hizo zikitoka sare ya 0-0 na sasa zitarudiana kutafuta timu ya kwenda Raundi ya Nne ya michuano hiyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment