James Rodriguez akishangilia baada ya kuifungia Bayern Munich bao la tatu dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Bayer Leverkusen Uwanja wa BayArena. Mabao mengine ya Bayern Munich yalifungwa na Javi Martinez dakika ya 32 na Frank Ribery dakika ya 59, wakati la wenyeji lilifungwa na Kevin Volland dakika ya 70 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Having autism has worked to my advantage in football - Bronze
-
Chelsea and England defender Lucy Bronze opens up for the first time about
her autism and ADHD diagnoses to raise awareness and help others.
49 minutes ago
0 comments:
Post a Comment