Henrikh Mkhitaryan akishangilia na Juan Mata baada ya kuifungia Manchester United bao la kuongoza dakika ya 42 katika ushindi qwa 3-0 dhidi ya wenyeji Leicester City leo Uwanja wa Kings Power. Mabao mengine ta United yamefungwa na Zlatan Ibrahimovic dakika ya 44 na Mata dakika ya 49 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment