• HABARI MPYA

    Sunday, February 14, 2016

    SIMBA SC ILIVYOIKALISHA STAND UNITED JANA NA KUPAA KILELENI LIGI KUU

    Kiungo wa Simba SC, Mwinyi Kazimoto akimtoka beki wa Stand United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Kambarage, Shinyanga. Simba SC ilishinda 2-1

    Wachezaji wa Simba SC wakiwa wamemuangukia mfungaji wa mabao yao yote mawili jana, Hamisi Kiiza 'Diego'
    Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Hajib (kulia) akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa Stand United
    Mshambuliaji wa Simba SC, Hamisi Kiiza akipasua katikati ya wachezaji wa Stand United
    Beki hodari wa Simba SC, Hassan Kessy akimfunga tela kiungo mkongwe wa Stand United, Amri Kiemba
    Ibrahim Hajib wa Simba SC akipambana katikati ya wachezaji wa Stand United
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SIMBA SC ILIVYOIKALISHA STAND UNITED JANA NA KUPAA KILELENI LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top