Mshambuliaji wa Liverpool, Roberto Firmino akiifungia timu yake bao dakika ya 59 katika sare ya 2-2 na Sunderland kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Bao lingine la Liverpool limefungwa na Adam Lallana, wakati mabao ya Sunderland yamefungwa na Adam Johnson na Jermain Defoe PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
3 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment