Robert Huth akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Leicester katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Manchester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad leo. Bao lingine la Leicester ambayo inazidi kupaa kileleni kwa kufikisha poiniti 53 za mechi 25, ikifuatiwa na Tottenham Hotspur yenye pointi 48 za mechi 25 pia, limefungwa na Riyad Mahrez, wakati la Man City limefungwa Sergio Aguero PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
3 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment