HIMID MAO ANAVYOISAKA MISULI KWA 'NONDO' ZA KILO NYINGI
Kiungo wa Azam FC, Himid Mkao Mkami akijifua kwa mazoezi ya kuimarisha misuli katika gym kuelekea mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Jumapili dhidi ya Mwadui FC Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment