Mshambuliaji Danny Welbeck akiichezea timu ya vijana ya Arsenal chini ya umri wa miaka 21 dhidi ya Brighton Uwanja wa Colney, London. Welbeck anayepambana kurudi uwanjani baada ya kuwa nje kwa mua mrefu akisumbuliwa na maumivu ya goti alicheza kwa saa moja U-21 ya Arsenal ikishinda 4-1, mabao yake yakifungwa na Reiss Nelson, Krystian Bielik, Stephy Mavididi na Ismael Bennacer PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
3 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment