Kiungo mshambuliaji wa Chelsea, Willian (kushoto) akipongezwa na mchezaji mwenzake, Diego Costa baada ya kufunga katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Newcastle usiku wa Jumamosi Uwanja wa Stamford Bridge katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya The Blues yalifungwa na Costa, Pedro mawili na Bertrand Traore, wakati la Newcastle lilifungwa na Andros Townsend PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Christian Eriksen collapses on the pitch for Denmark during friendly
against Ukraine as match is abandoned - almost five years since playmaker's
cardiac arrest at Euro 2020
-
Christian Eriksen collapsed on the pitch during Denmark's friendly against
Ukraine on Sunday.
47 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment