• HABARI MPYA

    Saturday, March 07, 2015

    CISSE AFUNGIWA MECHI SABA KWA KUTEMEANA MATE NA BEKI LA MAN UNITED

    MSHAMBULIAJI wa Newcastle United, Papiss Cisse amefungiwa mechi saba kwa kuhusika kutemeana mate na beki wa Manchester United, Jonny Evans.
    Evans kwa upande wake, anaweza kufungiwa mechi sita kama atakutwa na hatia baada ya Chama cha Soka England kuwafungulia mashitaka wote wawili.
    Tukio hilo liitokea Jumatano usiku wakati Man United ikishinda 1-0 dhidi ya Newcastle katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Hatima ya Evans inatarajiwa kutolewa leo na FA ya England, uwezekano mkubwa ukiwa ni kufungiwa mechi sita.
    Evans (left) and Cisse clash near the half-way line at St James' Park following the unpleasant exchange
    Evans (kushoto) na Cisse wakigombana katika mchezo huo Uwanja wa St James' Park 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CISSE AFUNGIWA MECHI SABA KWA KUTEMEANA MATE NA BEKI LA MAN UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top