JERRY MURO WA COASTAL UNION ALIVYOKUWA MKWAKWANI LEO BAADA YA AZAM KUFANYA YAO
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Coastal Union, Oscar Assenga akiwa haamini macho yake baada ya timu yake kufungwa 1-0 na Azam FC leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
0 comments:
Post a Comment