• HABARI MPYA

  Ijumaa, Machi 27, 2015

  FALCAO 'KIMEO' MAN UNITED AIPIGIA MBILI COLOMBIA IKISHIDA 6-0

  Radamel Falcao celebrates the second of his two goals for Colombia in their friendly against Bahrain
  Mshambuliaji wa Manchester United, Radamel Falcao akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Colombia ikiichapa 6-0 Bahrain katika mchezo wa kirafiki usiku huu. Falcao, ambaye hafanyi vizuri Man United anapocheza kwa mkopo kutoka Monaco ya Ufaransa, sasa amefikisha mabao 23 aliyoifungia Colombia katika mechi 55. Mabao mengine ya Colombia yamefungwa na Carlos Bacca, Adrian Ramos, Johan Mojica na Andres Renteria. Mara ya mwisho Falcao aliifungia Manchester United Januari 31.
  Out-of-favour Manchester United striker watches his first strike, a classy volley, hit the bottom corner
  Mshambuliaji wa Manchester United akifunga bao lake la kwanza usiku huu

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3013552/Bahrain-0-6-Colombia-Radamel-Falcao-strikes-twice-striker-sends-message-Manchester-United-boss-Louis-van-Gaal.html#ixzz3VX1umYrK 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FALCAO 'KIMEO' MAN UNITED AIPIGIA MBILI COLOMBIA IKISHIDA 6-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top