• HABARI MPYA

    Monday, March 23, 2015

    AZAM FC NA COASTAL UNION KATIKA PICHA JANA MKWAKWANI

    Kiungo wa Azam FC, Frank Domayo akimtoka kungo wa Coastal Union, Joseph Mahundi kulia katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Azam FC ilishinda 1-0.
    Mshambuliaji wa Azam FC, John Bocco akimtoka beki wa Coastal Union
    John Bocco akitafuta maarifa ya kumtoka Hamad Juma wa Coastal
    Tumba Swedi wa Coastal kushoto akiwania mpira dhidi ya Didier Kavumbangu wa Azam FC
    Mshambuliaji wa Coastal, Itubu Imbem akimiliki mpira mbele ya viungo wa Azam FC, Domayo na Himid Mao

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AZAM FC NA COASTAL UNION KATIKA PICHA JANA MKWAKWANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top