• HABARI MPYA

  Jumapili, Machi 29, 2015

  ITALIA YABANWA NA BULGARIA 2-2 SOFIA

  Ciro Immobile of Italy challenges Aleksandar Aleksandrov and goalkeeper Nikolay Mihaylov
  Ciro Immobile wa Italia akipambana na Aleksandar Aleksandrov na kipa Nikolay Mihaylov wa Bulgaria katika mchezo wa Kundi H kufuzu Euro 2016 mjini Sofia. Timu hizo zilitoka 2-2, mabao ya Italia yakifungwa na Yordan Minev aliyejifunga dakika ya nne na Eder dakika za lala salama, wakati ya Bulgaria yalifungwa na Ivelin Popov na Ilian Micanski.

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3016313/Bulgaria-2-2-Italy-Eder-rescue-Azzurri-Euro-2016-qualifier.html#ixzz3VkINDxQL 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ITALIA YABANWA NA BULGARIA 2-2 SOFIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top