• HABARI MPYA

  Jumatatu, Machi 23, 2015

  SIMBA SC NA RUVU SHOOTING KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Hajib (katikati) ya kipa wa Ruvu Shooting, Abdallah Abdallah (kulia) na beki wake kushoto katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba SC ilishinda 3-0.
  Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Ruvu kulia
  Winga wa SImba SC, Ramadhani Singano 'Messi' akitafuta maarira ya kumtoka beki wa Ruvu
  Emmanuel Okwi akipambana kwenye lango la Ruvu
  Ibrahim Hajib akimuacha chini beki wa Ruvu

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA RUVU SHOOTING KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top