• HABARI MPYA

    Thursday, March 26, 2015

    YANGA SC NA JKT RUVU KATIKA PICHA JANA TAIFA

    Winga wa Yanga SC, Simon Msuva (kushoto) akipiga mpira pembeni ya mcheaji wa JKT Ruvu, Naftali Nashon katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. Yanga SC ilishinda 3-1.
    Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa kulia akimtoka Naftali Nashin wa JKT
    Beki wa JKT Ruvu, Renatus Morris (kushoto) akiwania mpira dhidi ya mshambuliaji wa Yanga SC, Hussein Javu kulia
    Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima (kushoto) akipambana na beki wa JKT Ruvu, Mohammed Fakhi
    Haruna Niyonzima akimruka beki wa JKT Ruvu jana
    Mshambuliaji wa Yanga SC, Danny Mrwanda kulia akimtoka Renatus Morris wa JKT

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: YANGA SC NA JKT RUVU KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top