• HABARI MPYA

  Jumamosi, Machi 28, 2015

  MALAWI WALIVYOFANYA MAZOEZI KIRUMBA LEO

  Nahodha wa timu ya taifa ya Malawi, Joseph Kamwendo kulia akikokota mpira wakati wa mazoezi ya timu hiyo jioni ya leo Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Malawi inajiandaa na mchezo dhidi ya wenyeji Tanzania kesho.
  Wachezaji wa Malawi wakiwa mazozini leo Kirumba, kazi ni kesho
  Makoha wa Malawi wakizungumza na wachezaji wao baada ya mazoezi

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MALAWI WALIVYOFANYA MAZOEZI KIRUMBA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top