• HABARI MPYA

  Jumatatu, Machi 30, 2015

  FLETCHER APIGA 'HAT TRICK' SCOTLAND IKIPIGA MTU 6-1 KUFUZU EURO

  Fletcher added Scotland's fifth goal with his second of the game in the 77th minute for Scotland
  Steven Fletcher akiwa hewani kupiga mpira kichwa kuifungia Scotland bao la tano katika ushindi wa 6-1 dhidi ya Gibraltar mechi ya kundi D kufuzu Euro 2016. Fletcher alifunga mabao matatu peke yake dakika za 29, 70 na 90, wakati mabao mengine yalifungwa na Shaun Maloney mawili yote kwa penalti dakika ya 18 na 34 na Steven Naismith dakika ya 39, huku Lee Casciaro akiifungia Gibraltar la kufutia machozi dakika ya 19, ambalo lilikuwa la kwanza mchezoni. 

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3017061/Scotland-6-1-Gibraltar-Gordon-Strachan-s-surge-victory-thanks-Steven-Fletcher-s-treble-Group-D-minnows-hauled-level-competitive-goal.html#ixzz3VoNpybsQ 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FLETCHER APIGA 'HAT TRICK' SCOTLAND IKIPIGA MTU 6-1 KUFUZU EURO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top