• HABARI MPYA

  Jumapili, Machi 29, 2015

  SASA NI FRANCIS CHEKA NA CHIYIN CHAN...

  Bondia Francis Cheka akiwa na shabiki kutoka China, Chiyin Chan ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam juzi. Chan alikuja Tanzania kumsapoti Mchina mwenzake, Wan Xin Hua aliyepigana na Mohamed Matumla na kushindwa kwa pointi. Chan alikwenda kupiga picha na Cheka baada ya kuambiwa huyo ndiye wababe wote Tanzania.
  Cheka kulia akiwa na mdogo wake, Cossmas wakiangalia pambano la Matumla na Mchina
  Awali ya hapo, Cossmas alipigana na Mfaume Mfaume na kushinda kwa pointi

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SASA NI FRANCIS CHEKA NA CHIYIN CHAN... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top