• HABARI MPYA

  Jumapili, Machi 22, 2015

  MWENYEKITI WA AZAM FC LEO ALIKUWA...

  Mwenyekiti wa Azam FC, Sheikh Said Muhammad akifuatilia kwa makini mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya timu yake na Coastal Union Uwanja wa Mkwakwani, Tanga leo. Azam FC ilishinda 1-0.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MWENYEKITI WA AZAM FC LEO ALIKUWA... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top