• HABARI MPYA

  Jumamosi, Machi 28, 2015

  HAYA NDIYO YALIYOMSIBU DADA YETU ASHA NGEDERE JANA

  Bondia Mkenya, Bena Kaloki kulia akipigana na Mtanzania, Asha Ngedere usiku jana katika pambano la uzito wa Light Welter kuwania ubingwa wa WBU lililofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam. Kaloki alishinda kwa Knockout (KO) raundi ya nne.
  Asha Ngedere alijitahidi jana, lakini alikutana na mkali
  Asha Ngedere akiwa amelala chini baada ya kukutana na sumbwi la Bena Kaloki

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HAYA NDIYO YALIYOMSIBU DADA YETU ASHA NGEDERE JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top